Waweru, Grace
(Egerton University, 2014-05)
Dhana ya fani ni mbinu muhimu inayotumiwa na watunzi kuwasilishia maudhui yao. ufafanuzi wa dhana hiyo ni muhimu katika kurahisisha uelewekaji wa maudhui ya ukombozi katika jamii inayosheheni dhuluma za kila aina. utafiti ...