Ngero, Siteti
(Egerton University, 1996)
Tasnifu hii imejadili mifanyiko ya kifonolojia katika Kinyala cha Kakamega, hususan jinsi mifanyiko hiyo inavyodhihirika kwa kuiundia kanuni zinazoitawala. Kazi hii, mbali na kuziainisha sauti za Kinyala (K), inaibua ...