Owino, Agull Nicholas
(Egerton University, 2016-11)
Baadhi ya nomino za Kiwanga hubadili maumbo kutoka umbo-ndani hadi umbo-nje inapokuzwa au kudunishwa. Mabadiliko haya husababishwa na mifanyiko ya kimofofonolojia kutokana na uamilifu wa mofu {ku-/mi-} au {xa-/ru-}. Mifanyiko ...