Ndung'u, Peris,Mwihaki
(Egerton University, 2023-03)
Mawasiliano ni mchakato unaohusisha uhawilishaji wa ujumbe pamoja na uundaji na udumishaji wa utambulisho baina ya wazungumzaji. Katika maingiliano, binadamu hujaribu kuunda, kuendeleza na kudumisha utambulisho wake wa ...