Karimi, Muthare, C.
(1998-01)
Tasnifu hii imejishughulisha na suala la hadithi katikajamii ya Waigembe, na hasa ikizingatia nafasi ya hadithi hizo katika ujamiishaji. Hadithi zimedhihirisha kuwa na uhusiano wa karibu na utamaduni na mazingira yajamii ...