Mwikali, Janice Mutua
(Egerton University, 2023-06)
Riwaya za kimajaribio ni kazi andishi za kibunifu zilizoandikwa kwa kufuata mitindo mipya ya uandishi Wa riwaya za kisasa ambapo mbinu zinazotumiwa hukiuka uhalisia Wa kihistoria Wa kijadi hasa katika uwasilishaji wa ...